OUR PRODUCTS

Dotchyz Half Cooked Peanuts

Salted Half Cooked Groundnuts (Karanga za Chumvi zilizopikwa kiasi)

Enjoy the Tasty Salted Half Cooked Groundnuts in the morning, afternoon or evening snacks and can be served with tea, coffee, juice or even water.
(Furahia ladha tamu ya Karanga za Chumvi zilizopikwa kiasi kama sehemu ya mlo wako, iwe ni asubuhi, mchana, au jioni, unaweza tumia kitafunwa hiki na chai, kahawa, juisi au hata maji.)
Dotchyz Peanuts kashata

Groundnuts Chikki (Kashata za Karanga)

Enjoy the sweet and tasty Groundnuts Chikki as a desert, morning, afternoon or evening snacks and can be served with tea, coffee, juice or even water.
(Furahia ladha tamu ya kashata za karanga kama sehemu ya mlo wako, iwe ni asubuhi, mchana, au jioni, unaweza tumia kitafunwa hiki na chai, kahawa, juisi au hata maji.)
Dotchyz Crisps

Crunchy Potato Crisps (Kripsi)

Enjoy the Tasty and Crunchy Potato Crisps with salt and/or chili, whether in the afternoon or evening snacks and can be served with tea, coffee, juice or even water.
(Furahia ladha tamu ya Kripsi yenye chumvi na au pilipili kama sehemu ya mlo wako, mchana, au jioni, unaweza tumia kitafunwa hiki na chai, kahawa, juisi au hata maji.)
Dotchyz Egg Coated Peanuts

Sweeten Egg Coated Groundnuts (Karanga za Mayai)

Enjoy the Tasty Sweeten Egg Coated Groundnuts as a desert, morning, afternoon or evening snacks and can be served with tea, coffee, juice or even water.
(Furahia ladha tamu ya Karanga za Mayai kama sehemu ya mlo wako, iwe ni asubuhi, mchana, au jioni, unaweza tumia kitafunwa hiki na chai, kahawa, juisi au hata maji.)
Dotchyz Sugar Coated Visheti

Sugar Coated Visheti (Visheti)

Enjoy the sweet and delicious Sugar Coated Visheti with cardamom flavor as a desert, morning, afternoon or evening snacks and can be served with tea, coffee, juice or even water.
(Furahia ladha tamu ya Visheti vyenye iliki kama sehemu ya mlo wako, iwe ni asubuhi, mchana, au jioni, unaweza tumia kitafunwa hiki na chai, kahawa, juisi au hata maji.)
Dotchyz Ubuyu Candy

Sweeten Baobab Fruit (Ubuyu)

Enjoy the sweet and tangy Sweeten Baobab Fruit with black pepper and sweet flavor any time of the day.
(Furahia Ubuyu wenye ladha ya pilipili manga wakati wowote katika siku.)
Dotchyz Chilli Bilimbi Pickle

Chilli Bilimbi Pickle

Enjoy the tangy and delicious well-cooked Bilimbi Pickle that leaves your food tastier than ever. Taste the unique flavor of Chilli Bilimbi Pickle and experience the health benefits contained within.
(Furahia ladha tamu na ya kipekee ya "Chilli Bilimbi Pickle" iliyopikwa kwa umaridadi wa juu kabisa ili kukipa chakula chako ladha nzuri na ya kusimumua na pia kukuongezea virutubisho sahihi mwilini viletwavyo na Mbilimbi na Pilipili.)
Dotchyz Hot Bilimbi Pickle

Hot Bilimbi Pickle

Enjoy the tangy and delicious well-cooked Bilimbi Pickle that leaves your food tastier than ever. Taste the unique flavor of Hot Bilimbi Pickle and experience the health benefits contained within.
(Furahia ladha tamu na ya kipekee ya "Hot Bilimbi Pickle" iliyopikwa kwa umaridadi wa juu kabisa ili kukipa chakula chako ladha nzuri na ya kusimumua na pia kukuongezea virutubisho sahihi mwilini viletwavyo na Mbilimbi na Pilipili.)
Dotchyz Tangy Bilimbi Pickle

Tangy Bilimbi Pickle

Enjoy the tangy and delicious well-cooked Bilimbi Pickle that leaves your food tastier than ever. Taste the unique flavor of Tangy Bilimbi Pickle and experience the health benefits contained within.
(Furahia ladha tamu na ya kipekee ya "Tangy Bilimbi Pickle" iliyopikwa kwa umaridadi wa juu kabisa ili kukipa chakula chako ladha nzuri na ya kusimumua na pia kukuongezea kirutubisho sahihi mwilini kiletwavyo na Mbilimbi.)
Dotchyz Hot Chachandu

Hot Chachandu

Dotchyz brings you Hot Chachandu to spicy and hotness your food and give you much appetite as never before. Enjoy your food with little amount of delicious Hot Chachandu and experience the health benefit within.
(Dotchyz inakuletea bidhaa mpya ya "Hot Chachandu" ambayo itaongeza Ladha, kukipa joto chakula chako na kukupa hamu ya kula vizuri haijawahi kutokea. Furahia chakula chako kwa kutumia kiasi kidogo cha "Hot Chachandu" na kupata faida nyingi za kiafya zinazoambatana nazo)